NAIBU WAZIRI AONYA UVUVI HARAMU

Na TUNU NASSOR-PWANI   NAIBU Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Abdallah Ulega, amewataka wavuvi nchini, waache uvuvi haramu kwa kuwa unasababisha madhara yakiwamo uuaji wa mazalia ya samaki. Akizungumza na wananchi wa Kata ya Kisiju, Wilaya  ya Mkuranga, mkoani Pwani, Ulega alisema atakayekiuka agizo hilo, atashughulikiwa ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa hatua za kisheria. “Hatutakuwa na huruma kwa mvuvi yeyote atakayejihusisha na uvuvi haramu, tutakayemkamata, tutamshughulikia kikamilifu na adhabu kali itachukuliwa dhidi yake. “Natambua asilimia kubwa ya wakazi wa kata hii wanategemea uvuvi na kilimo cha korosho, hivyo kuendekeza...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News