NAIBU WAZIRI ALILIA UJENZI WA BARABARA JIMBONI KWAKE

Na OSCAR ASSENGA, PANGANI SERIKALI imeombwa kuangalia namna ya kuanza ujenzi wa barabara ya Tanga kuelekea Pangani hadi Saadan Bagamoyo, ili kumaliza tatizo la ukosefu wa usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo. Ombi hilo lilitolewa juzi na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso, wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani hapa. Katika maelezo yake, Awesu alisema pamoja na kuwapo kwa miradi mingi inayotekelezwa katika maeneo hayo, malalamiko makubwa ya wananchi wa maeneo hayo ni ukosefu wa barabara. Aweso ambaye pia ni Mbunge wa Pangani kupitia CCM, alisema...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News