Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar aendelea na ziara yake kukagua miradi ya TASAF Kisiwani Peba

 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na mwalimu mkuu wa skuli ya Maandalizi Junguni, Nusura Hamad iliyojengwa na Tasaf, wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi ya Tasaf Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA). NAIBU katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya vitabu wanavyosoma wanafunzi wa skuli ya Maandalizi Junguni, iliyojengwa na mfuko wa maendeleo ya Jamii Tanzania (Tasaf), wakati alipokuwa katika ziara yake ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015/2020 katika miradi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News