Naibu Katibu Mkuu CCM akagua miradi ya TASAF Shehia ya Ndagoni, kisiwani Pemba

 NAIBU katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya milango iliyowekwa katika moja ya matuta, yaliyojengwa na Tasaf kupitia kaya masikini Shehia ya Ndagoni, katika Boande la Kagu lenye wakulima zaidi ya 350, ambao miaka ya nyuma walishindwa kulima mpunga.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA). NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, mwenye miwani akipiga marufuku wakulima kulima karibu na matuta yaliyojengwa na Tasaf, kupitia kaya masikini shehia ya Ndagoni Wilaya ya Chake Chake, wakati wa ziara ya kuangalia utekelezaji...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News