Naibu Katibu Mkuu CCM aendelea na ziara yake Wilaya ya Micheweni Pemba

 NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya ramani za ujenzi wa mradi mkubwa wa uwekezaji wa Chama Cha mapiduzi Wilaya ya Micheweni, wakati wa ziara yake ya Kichama kwa Wilaya hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Micheweni, wakati alipowasili Chimba kuzungumza na Viongozi na wanachama wa CCM Tawi la Chimba, wakati wa ziara yake ya kuzungumza na wanachama hao.(PICHA NA ABDI...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News