MWINYI ATUA KWA LISSU

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RAIS Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi amemtembelea na kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), aliyelazwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya kwa matibabu. Mwinyi anakuwa Rais mstaafu wa kwanza kwenda kumwona Rais huyo wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), huku akitanguliwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyemtembelea hospitalini hapo Novemba 28, mwaka huu. Kiongozi huyo mstaafu alikwenda hospitalini hapo jana saa 11:40 jioni akiwa ameambatana na mkewe, Sitti Mwinyi pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk. Pindi Chana. Alipofika hospitalini...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News