Mwingine apotea​

ADUL Nondo, mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ambaye alikuwa mstari wa mbele kupinga kitendo cha jeshi la Polisi kumpiga risasi, Akwiline Akwelina, amepotea katika mazingira ya kutatanisha. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na Nondo zinasema, kabla ya “kupotea” hewani, mwanafunzi huyo alijitoa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News