Mwigulu Nchemba aongoza Oparesheni katika mashamba ya Bangi Arusha

Nakusogezea stori kutoka mkoani Arusha ambapo Leo February 7, 2018 Waziri wa mambo ya ndani nchini, DR Mwigulu Nchemba ameongoza oparesheni ya kuteketeza jumla ya hekari sita za bangi zilizokuwa zimelimwa katikati ya msitu ndani ya kijiji cha Engalaoni wilayani Arumeru mkoani Arusha. Mwigulu akishirikiana na kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha,(RPC) Charles Mkumbo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News