MWIGULU AIFANYIA UMAFIA YANGA

HUSSEIN OMAR NA CLARA ALPHONCE   KUNA msemo unaosema mchawi ni nduguyo, hii ni baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, ambaye alikuwa ni mmoja wa watu wanaoisaidia Yanga, kuifanyia umafia na kumsajili kiungo Awesu Ally wa Mwadui FC, kwa mkataba wa miaka miwili, kuitumikia Singida United msimu ujao. Mwigulu, ambaye kwa sasa ni mmoja wa wamiliki wa Singida United, amewazidi kete Yanga kwa kuinasa saini ya mchezaji huyo, ambaye alikuwa kwenye rada za mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara wa kihistoria nchini, wakiwa wamebeba ‘mwali’ mara nyingi...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News