MWENYEKITI WA UWT GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA HOSPITALI YA MBAGALA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, LEO

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka akifurahia mtoto wa kike, alipotembelea wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Mbaala Rangi tatu, wilayani Temeke Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani, leo Machi 8, 2018. Mapema Mama Kabaka akiambatana na kina mama mbalimbali wakiwemo viongozi wa UWT kutoka maeneo mbalimbali, alishiriki kufanya usafi na baadaye kutoa zawadi mbalimbali kwa uongozi na waonjwa kwenye Hospitali hiyo. Kulia ni Mariam Salum, mzazi wa mtoto huyo.  "Haya Mama chukua kichana chetu.." akasema Mama Kabaka wakati akirejesha mtoto...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News