Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Tanzania Akabidhi Zawadi Kwa Washindi wa Michuano ya Kombe la Masauni na Jazeera Visiwani Zanzibar.

Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James (wapili kulia), Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni, Nassoro Salim Jazeera (wakwanza kulia) na Mbunge wa jimbo hilo wakiwakabidhi kombe wachezaji wa timu ya Miembeni baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa fainali ya Mashindano ya Masauni-Jazeera kwa kuifunga timu ya Kilimani bao 1-0.Mchezo huo umefanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Kikwajuni visiwani ZanzibarMwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM), Kheri James  (kulia),akimkabidhi nahodha wa timu ya Kilimani, zawadi ya mipira baada ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News