Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt Magufuli aongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma. Wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman  Kinana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 17 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News