MWENYEKITI UVCCM AHIMIZA MSHIKAMANO

Na MWANDISHI WETU-TABORA MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Kheri James, amesema kuwa wananchi wanaopata bahati ya wabunge wao kupewa majukumu mengine ya kiserikali ni vema wakaendelea kupewa ushirikiano. Hayo aliyasema jana mkoani Tabora, alipozungumza akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa ndani katika Kijiji cha Nkiniziwa kilichopo Halmashauri ya Nzega Vijijini mkoani hapa. Alisema lengo la chama kuisimamia Serikali ni kutaka kuendeleza msingi wa chama kuaminiwa na wananchi ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa ridhaa yao kutokana na kuwajali na kuwatumikia waliowapa ridhaa. “Tunatakiwa kufanya kazi kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News