MWENYE NJAA HANA STAHA

NA VICTOR MAKINDA NJAA mbaya. Adui yako mwombee njaa,akiwa na njaa huwa mpole, msikivu, mtii na mnyenyekevu. Adui akiwa na njaa huenda akaomba msamaha bila kujali. Njaa hupunguza     na kuondoka kabisa utashi, uwezo wa kufikiri na kuhoji unapotea.Mwenye njaa fikra zake huelekeza kufikiri namna anavyoweza kupata shibe tu, anaweza kufanya hata lililo batili ili apate shibe. Ukitaka kupima uwezo wa ustahimilivu wa mwanadamu jaribu kwenye njaa. Kisa cha Esau na Jacob katika Biblia kinaeleza madhila ya njaa na namna gani mwenye njaa anaweza kuuza utu wake ili apate shibe. Biblia...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News