Mwemyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aendesha Kikao cha Mkutano wa Kamati Kuu Mjini Dodoma leo.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya katika ukumbi wa mkutano wa white house kwa kuaza mkutano wa Kamati Kuu iliofanyika katika ukumbi wa white house Dodoma leo....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 17 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News