Mwanasheria mkuu wa Kenya Githu Muigai ajiuzulu

Mwanasheria mkuu wa Kenya, Githu Muigai, alijiuzulu siku ya Jumanne. Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta, kupitia ujumbe wa Twitter, alisema  ameshangazwa na hatua hiyo, lakini akamshukuru kwa huduma yake ya miaka sita na nusu kama mshauri mkuu wa sheria wa serikali....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News