Mwanasheria Mkuu wa Kenya amejiuzulu

Stori kubwa kutoka +254 Kenya leo February 13, 2018 ni kuhusu Mwanasheria mkuu wa Kenya Prof. Githu Muigai amejiuzulu baada ya kuhudumu kwa miaka sita na nusu. Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa huduma zake na sasa jaji Paul Kihara Kariuki atachukua nafasi yake. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Uhuru Kenyatta ameandika hivi […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News