Mwananchi yalaani vikali kupotea kwa mwandishi wake Azory Gwanda

Gwanda ambaye kituo chake cha kazi ni Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, alitoweka katika mazingira ya kutatanisha Novemba 21, 2017 baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa Kibiti majira ya saa 4:00 asubuhi....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News