Mwanamme aoa wanawake sita kwa kulipwa, hii ndio sababu

Raia mmoja wa Marekani katika Jimbo la  Massachusetts ameshtakiwa Mahakamani kwa hati ya makosa ya jinai baada ya kuoa wanawake wengi katika kipindi cha mwaka 2003 hadi 2013. Mtuhumiwa huyu Peter Hicks, 57, alifanya vitendo hivi huku akilipwa kwa lengo la kuwasaidia wanawake hao kukwepa hatua za kupata nyaraka zote za kuwatambua kama wahamiaji wa nchi hiyo.  […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News