Mwanafunzi mbaroni akiwa na sare za JWTZ

JESHI la Polisi, Kanda Maalumu Dar es Salaam linamshikilia Said Selemani (17), mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya Sekondari ya Fahari iliyopo Goba, kwa kosa la kukutwa na sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kujifanya ni mwanajeshi....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News