Mwalimu mkuu atupwa jela kwa rushwa ya elfu hamsini

MWALIMU Mkuu wa Shule ya Msingi Magu iliyoko Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Prosper Kagombolo amehukumiwa na Mahakama ya wilaya hiyo kwenda jela miaka mitatu ama kulipa faini isiyopungua laki tano kwa kosa la kuomba rushwa kwa mwanafunzi wake ili aweze kumpatia cheti chake cha kuhitimu darasa la saba....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News