Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohammed Raza Darams Akabidhi Vifaa kwa Ajili ya Skuli ya Sekondari Uzini

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akikabidhiwa Printa na Fedha kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe.Mohammed Darams Raza Hassanali, kwa ajili ya Skuli ya Sekondari ya Uzini Wilaya ya Kati Unguja,wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Chama cha Mapinduzi Mpapa Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na OMPR) Na. Othman Khamis OMPR.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi alisema Wana CCM wana dhima kubwa ya kuhakikisha ushindi wa Chama hicho ni lazima kwenye Chaguzi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News