Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said Afanya Ziara Kutembelea Chuo cha Kikuu cha Zanzibar (ZU).

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akisalimiana na Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu Zanzibar (ZU) Pr. Musta Roshash alipofika ofisini kwake Chuoni hapo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akisaini kitabu cha Wageni baada ya kufanya ziara ya kutembelea Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU). MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said katikati akizungumza na Wakuu wa chuo hicho kushoto kweke ni Makamo Mkuu wa Chuo hicho Pr. Musta Roshash kulia ni Mkuu wa Utawala Ahmad Majid Ali.MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News