Muswada wa umri wa kustaafu kujadiliwa kamati za Bunge

Vikao vya kamati za Bunge vimeanza huku miongoni mwa miswada itakayojadiliwa ikiwa ni ule utakaoongeza umri wa kustaafu kwa lazima kutoka miaka 60 hadi 65 kwa maprofesa, wahadhiri waandamizi na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu wa umma....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 15 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News