MURRAY KUVAANA NA ‘NDUGU YAKE’ RAUNDI YA KWANZA YA AEGON

LONDON, England MKALI wa tenisi, Andy Murray, anatarajia kukutana na Mwingereza mwenzake, Aljaz Bedene, kwenye raundi ya kwanza ya michuano ya tenisi ya Aegon katika Uwanja wa Queen’s Club kesho. Nyota hao wanakumbukwa kwa pambano lao la mwaka jana ambapo bingwa mtetezi wa michuano hiyo, Murray, alimchakaza Bedene kwa seti mfululizo. Mkali kutoka Uswisi, Stan Wawrinka, amepangiwa kuoneshana kazi na Mhispania, Feliciano Lopez, wakati Nick Kyrgios wa Australia akitarajia kuvaana na Steve Johnson wa Marekani. Sam Querrey ambaye aliibuka bingwa wa mashindano hayo mwaka 2010, atachuana na Mwingereza, Cameron Norrie,...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News