Mugabe apeleka ‘matanuzi’ yake China huku hali ya kiuchumi nchini kwake ikizidi kudorora

Harare – Zimbabwe RAIS wa Zimbabwe Robert Mugabe ameendelea na matanuzi yake huko nchini China kwa hisani ya kodi ya wananchi wa Zimbabwe huku malalamiko ya wapinzani na wananchi wa kawaida wa nchi yake yakizidi kutokana na hali mbaya ya uchumi. Kiongozi huyo, ambaye yupo katika mapumziko ya mwezi mzima, aliondoka Harare na kwenda Singapore na familia yake yote na wapambe na walinzi wake. Singapore ni nchi ambayo Mugabe huenda mara kwa mara kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa macho. Makamu wa Mugabe, Emmerson Mnangagwa, alisema kwamba alijaribu...

read more...

Share |

Published By: Raia Mwema - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News