Mugabe akataa kujiuzulu, huenda akaondolewa kisheria

Kiongozi wa muda mrefu nchini Zimbabwe, Rais Robert Mugabe anakabiliwa na mashtaka ya kutaka kumuondoa mamlakani baada ya kueleza dhahiri katika hotuba yake Jumapili kuwa hatajiuzulu. Mamilioni wa watu walisikiliza na kuangalia kwenye televisheni hotuba hiyo wakitarajia kusherehekea mwisho wa miaka 37 ya utawala wa Mugabe. Wakiwa wamesikitishwa sana, baadhi yao walibubujikwa na machozi walipomsikia Mugabe akisema atashiriki katika mkutano mkuu wa ZANU-PF uliopangwa kufanyika mwezi......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Sunday, 19 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News