Mtulia Ashinda Ubunge Jimbo la Kinondoni

Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la Kinondoni baada ya kupata kura 30,313 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Salum Mwalim (CHADEMA) aliyepata kura 12,353...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Saturday, 17 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News