MTOTO WA GADDAFI ANAWEZA KUIONGOZA LIBYA?

SEIF al-Islam Gaddafi     TRIPOLI, LIBYA SEIF al-Islam Gaddafi (mwenye miaka 44) ameachiliwa huru kutoka jela nchini Libya baada ya miaka sita. Kwa mujibu wa taarifa ya Brigedia mmoja kutoka Kikosi cha waasi kinachoongozwa na Abu Bakr al-Sadiq na chenye makao yake mjini Zintan, magharibi mwa Libya, mtoto wa Gaddafi aliachiliwa huru, licha ya kuwa mtu anayetafutwa sana na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Wengi wanajiuliza nini kitakachofuata kwa mtoto huyu wa Kanali Muammar Gaddafi, ambaye wakati mmoja alionekana kukaribia kurithi wadhifa wa baba yake wa kuiongoza Libya....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News