Mtatiro: Sina Sifa ya Kuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni

Julius Mtatiro anasema amepokea meseji nyingi sana zikimuomba agombee ubunge jimbo la Kinondoni baada ya Mbunge wa (CUF – Lipumba), Ndugu Maulid Mtulia kuhamia CCM. Ammesema kwamba msimamo wake kuwa hana ndoto za kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni. Masuala ya kugombea ubunge kwenye majimbo ni masuala mapana, yanahitaji maandalizi, ukaribu wako na wapiga kura na historia yako na jimbo hilo. Kwa kiasi kikubwa hakuna kigezo hata kimoja kati ya hivyo ambacho Mtatiro zinazoweza kumfanya awe na sifa ya kugombea katika jimbo hilo. Mtatiro amewahakikisha wanachama wa CUF kwamba...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News