Mtanzania akamatwa na kilo 32 za dhahabu Kenya

MAMLAKA ya Mapato Kenya (KRA) imesema, imemkamata raia wa Tanzania akiwa na kilo 32.25 za dhahabu zenye thamani ya shilingi milioni 100 za nchi hiyo ambazo ni sawa na takribani shilingi bilioni mbili za Tanzania....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Wednesday, 21 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News