Mtanzania afungwa Uingereza kwa kupost picha ya maiti kwenye Facebook

Mtanzania Omega Mwaikambo ambaye anaishi Uingereza amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kupost kwenye Facebook mabaki ya mtu aliyeungua moto kwenye ajali ya moto ulioteketeza ghorofa la Grenfell Tower. Picha hiyo iliyoamsha hisia za watu wengi ilipelekea Polisi kumkamata na kumfikisha Mahakamani kwa kosa la kuvunja faragha ya mtu aliyekufa na kupost kwenye hadhara […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Saturday, 17 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News