MSUVA, BANDA WAPISHANA

NA JESSCA NANGAWE WAKATI beki wa Baroka FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda, ameondoka nchini juzi kurejea kwenye klabu yake, amejikuta akipishana na Simon Msuva ambaye anarejea Tanzania kwa ajili ya mapumziko mafupi. Banda alikuwa nchini kwa mapumziko ya wiki moja kwa ajili ya kupisha Sikukuu za Krismasi, amerejea juzi Afrika Kusini ili kujiandaa na Ligi Kuu nchini humo. Kwa upande wa winga Msuva ambaye anaichezea klabu ya Al Jadida ya nchini Morocco, anatarajia kurudi nchini kesho baada ya ligi yao kusimama kwa muda. Msuva amesema kwamba ligi ya Morocco...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News