MSIBA: Joel Bendera afariki dunia

Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Aminiel Eligaisha amethibitisha kifo chake na kueleza kuwa Bendera alifikishwa hospitalini hapo Saa 6:03 mchana na kupelekwa katika wodi ya […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News