MSECHU AOMBA MSAMAHA: Akalishwa vikao

Mwimbaji wa Bongofleva Peter Msechu amekaa kwenye Exclusive Interview na millardayo na kuomba radhi kwa kauli yake ambayo imefanya viitishwe vikao vya kumuonya. Siku kadhaa zilizopita Peter Msechu alizungumzia juu ya muonekano wa mwili wake kuwa amejiachia sana na kunenepa kupita kiasi huku wengi wakimshauri kupunguza mwili kwa kufanya mazoezi jambo ambalo analipinga akisema pamoja na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News