MSD YAZINDUA KIFURUSHI CHA UZAZI

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imezindua kifurushi cha uzazi (delivery pack) kwa ajili ya kuwezesha wajawazito kupata vifaa muhimu vya kujifungulia. Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 7, Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu amesema kifurushi hicho kitapatikana kwa bei ya Sh 21,000. “Vifaa vyote muhimu tumevikusanya na kuviweka pamoja, humu ndani kuna pamba kubwa, mpira wa kuzuia uchafu, taulo ya kike ya wazazi, sindano ya kuzuia damu kupotea, mipira ya mikono (surgery gloves), nyembe za kupasulia, kibana kitovu cha mtoto,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News