Msanii wa Muziki Nchini Tanzania Babu Seya Atowa Shukrani Kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Ikulu Kwa Kuwapa Msamaha.

Mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kumshukuru Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwapa msamaha wa kifungo cha maisha Babu Seya na mwanae Papii Kocha walichokuwa wanatumikia toka wahukumiwe miaka 13 iliyopita.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na mwanamuziki Nguza Viking "Babu Seya" na wanae Johnson Nguza "Papii Kocha', Francis Nguza na Nguza Mbangu walipokwenda Ikulu jijini Dar es salaam leo January 2, 2018...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News