Mrisho Mpoto amuandikia Afande Sele baada ya kumsema Kanumba “nimesoma ulichoandika zaidi ya mara 30”

Afande Sele aliandika kwa kirefu sana jana baada ya hukumu ya Lulu na kuonyesha kumlaumu Marehemu Steven Kanumba kwa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Lulu wakati akiwa na umri mdogo kabisa. Baada ya Mrisho Mpoto kuona hicho alichoandika Mfalme huyo wa Rhymes leo amemuandikia yafuatayo “Wewe ni kaka yangu na Mwandishi ambae sijawahi kuacha […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News