MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA PUNDA KUONGEZA BEI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(mwenye miwani) akikagua kiwanda cha kuchinja Punda cha Hua Cheng Limited kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma alichokifungua hivi karibuni leo. (Picha na Jumanne Mnyau)  Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(mwenye miwani) akipokea maelezo ya usindikaji wa nyama Punda kutoka kwa mfanyakazi wa wa kiwanda cha kuchinja Punda cha Hua Cheng Limited Elizabeth Peter.(Picha na Jumanne Mnyau)  Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Luhaga Mpina(mwenye miwani) akitembezwa katika kiwanda cha kuchinja Punda cha Hua Cheng Limited kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News