MOURINHO APANIA KUIKATILI MAN CITY KWA SANCHEZ

MANCHESTER, England USAJILI wa Januari umepamba moto ambapo klabu ya Manchester United imeripotiwa kuibuka na ofa nono kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez, ambaye pia anawaniwa na wapinzani wao wa jadi, Man City. City walitoa ofa ya pauni milioni 20 kumsajili Sanchez na dili lilionekana kukaribia kukamilika na Mchile huyo kuungana na kocha wake wa zamani, Pep Guardiola, aliyeko Man City kwa sasa. Lakini ripoti zilizoibuka jana zilidai kuwa United iliandaa ofa nzuri ambayo ilikaribia pauni milioni 35 wanazotaka Arsenal ili wamuuze Sanchez na kumtumia kiungo wao,...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News