Mourinho amewatolea uvivu Ryan Giggs na Rooney

Kocha wa Man United Jose Mourinho leo ameamua kuwatolea uvivu mastaa wa zamani wa Man United Wayne Rooney ambaye kwa sasa anaichezea Everton na Ryan Giggs ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya taifa ya Wales. Rooney na Giggs wote wamekosoa mfumo wa Jose Mourinho namna anavyomtumia kiungo wao Paul Pogba kwa sasa, Rooney […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News