MO HAZUILIKI TENA MSIMBAZI

NA MAREGES NYAMAKA MABADILIKO hayazuiliki. Hizo ndizo kauli za wanachama na mashabiki wa Simba kuelekea Mkutano Mkuu wa wanachama, unaotarajiwa kufanyika leo Jumapili kuanzia saa 4:00 asubuhi, kwenye Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere (MNICC), jijini Dar es Salaam. Ukumbi huo wa kisasa hapa nchini upo maeneo ya Ocean Road, karibu na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), ambapo itakuwa mara ya kwanza kwa klabu za michezo nchini kufanyia mkutano wake kwenye kituo hicho, kilichobeba jina la Baba wa Taifa hili. Mkutano huo unafanyika baada ya...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News