MO DEWJI: SIMBA KUTORUDIA MAKOSA YA 1993

NA EZEKIEL TENDWA AMA kweli Mohamed Dewji ‘Mo’ anaipenda mno Simba, kwani wakati baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo wakiwa wameshasahau kilichoitokea timu yao mwaka 1993, mfanyabiashara huyo bado anakumbuka na sasa ameweka wazi kuwa hawatarudia makosa waliyoyafanya mwaka huo. Iko hivi! Mwaka huo Simba ilifanikiwa kutinga fainali michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika wakati huo likijulikana kama Kombe la Caf, lakini wakafungwa kizembe na Stella Abidjan ya Ivory Coast tena kwenye Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Katika mchezo wa kwanza, Simba wakiwa ugenini walipambana vilivyo na...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News