Mlinzi wa Meja Jenerali aliyejeruhiwa kwa risasi akamatwa

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili akiwemo mlinzi wa Suma JKT na mhudumu wa benki ya NBC tawi la Tangibovu ambao wanatuhumiwa katika tukio la kujeruhiwa kwa risasi Meja Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ), Vincent  Mritaba....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News