MLIMANI PARK WAFUNGUA MWAKA NA ‘NAISUBIRI BAHATI’

NA JESSCA NANGAWE BENDI kongwe ya muziki wa dansi nchini, Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde Ngoma ya Ukae’, imefungua mwaka na ngoma mpya ‘Naisubiri bahati’ ambayo waliitambulisha kwa mara kwanza wakati wa sikukuu za mwishoni mwa mwaka. Akizungumza na DIMBA Jumatano, Kiongozi wa bendi hiyo, Abdalah Temba, alisema wimbo huo umetungwa na mpiga dramu wao mkongwe, Habib Jeff, ambapo wakati wowote kuanzia sasa wataingia studio kuurekodi. “Wimbo huu tayari tumeutambulisha kwa mashabiki wetu wakati wa sikukuu ya Krisimasi na mwaka mpya, tunashukuru umepokelewa kwa kishindo kwani wengi wameonyesha kuukubali na ndiyo...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News