Mkuu wa Takwimu Zanzibar atoa takwimu za bei

 Mkuu wa Takwimu za Bei Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham kulia akuzungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.2 kwa mwezi wa January hadi asilimia 4.8 kwa February hafla iliofanyika Ofisini kwake Mazizini Mjini Zanzibar. Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya kutolewa Takwimu za Bei  ambapo zimeonekana kushuka kutoka asilimia 5.2 kwa mwezi wa January hadi asilimia 4.8 kwa February hafla iliofanyika Ofisini ya Mtakwimu Mkuu Mazizini Mjini Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Habari Maelezo Takdiri Ali Suwed akiuliza maswali katika hafla ya  kutolewa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 6 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News