Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba. Mhe. Hemed Suleiman Azindua Ufunaji wa Zao la Alizeti Kijiji cha Ole Pemba. Kwa Walengwa wa Mradi wa Kunusuru Kaya Masini Pemba Zilioko Katika Mradi wa Tasaf.

Shamba lennye ukubwa wa ekari moja, lililolimwa zao la Alizeti la walengwa wa mpango wakunusuru kaya masikini shehia ya Mjini Ole, likizinduliwa uvunaji wake na mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman AbdallaAFISA Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Mata akimfahamisha jambo Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, ambaye pia ni mwenyekiti wakamati ya Tasaf Pemba, kabla ya kuzindua zoezi la uvunaji wa zao la alizeti katika shamba darasa la walengwa wa mpango wakunusuru kaya masikini shehia ya mjini Ole.AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News