Mkuu wa Gereza la Ukonga Astaafu Utumishi wa Jeshi la Akihimiza Kuendelezwa Viwanda Vya Magereza.

Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto), akikwagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo, Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es SalaamKamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila , akipunga mkono wa kwaheri  wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo. Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es SalaamGwaride la heshima likipita mbele ya Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza,...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News