MKUTANO WA MPANGO KAZI WA WATAALAM WA MALARIA KUTOKA MAREKANI NA ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman akitoa salamu zake kabl ya kumkaribisha Waziri wa Afya kufungua mkutano wa Mpango kazi wa Wataalam wa Malaria kutoka Shirika la Misaada la Marekani na Wizara ya Afya Zanzibar uliofanyika Ukumbi wa Hotel ya NGalawa mjini Unguja.Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Mpango kazi wa Wataalam wa Malaria kutoka Shirika la Misaada la Marekani na Wizara ya Afya Zanzibar uliofanyika Ukumbi wa Hotel ya NGalawa mjini UngujaKatibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Abdulla akitoa neno...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News