MKUTANO WA KUMNG’OA ZUMA MADARAKANI WAAHIRISHWA

Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimeahirisha mkutano wa viongozi wa juu wa chama hicho ulio tarajiwa kujadili hatima ya rais Zuma. Hata hivyo badala yake taarifa iliyotolewa na chama hicho imeeleza kuwa wamekuwa na mazungumzo yenye ufanisi mkubwa na rais Zuma. Rais Zuma yupo katika wakati mgumu kufuatia shinikizo la kumtaka aachie madaraka ambalo linatoka ndani ya chama chake,halikadhalika upinzani. Siku ya jumanne bunge la taifa hilo liliahirisha hotuba ya kitaifa iliyotarajiwa kutolewa na rais Zuma. Hata hivyo baadhi ya mitandao nchini humo imekaririwa ikisema kuwa rais Zuma...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News